mpya,
wasanii
HUYU NDIO MTANZANIA ALIYEINGIA KWENYE LIST YA WASICHANA 20 WAZURI ZAIDI AFRICA, TAZAMA NA SOMA HAPA
11:53 PM
Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana
20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa)
ambapo hata hivyo imetawaliwa na wanawake wa Nigeria na Ghana.
Ni Millen Magese pekee amekuwa mwanamke kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kuingia kwenye orodha hiyo.
Orodha nzima ni hii:
Leila Lopes (Angola), Vimbai Mutinhiri (Zimbabwe), Oluchi Orlandi (Nigeria), Yvonne Nelson (Ghana), Dillish Mathews (Namibia), Agbani Darego (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria), Stephanie Linus (Nigeria), Genevieve Nnaji (Nigeria), Joselyn Dumas (Ghana), Yvonne Okoro (Ghana), Jackie Appiah (Ghana), Millen Magese (Tanzania), Omotola. Jalade-Ekeinde (Nigeria), Zainab Sheriff (Sierra Leone), Naa Okailey Shooter (Ghana), Nadia Buari (Ghana), Lerato “Lira” Molapo (South Africa), Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa), Elham Wagdi (Egypt).

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments