Linapokuja suala la ubunifu wa
kisanaa katika sekta ya muziki na kama mtu, kanye ni katika kilele cha yote.
hivi kariburi taarifa mbalimbali zilizagaa duniani kote kwamba rapper maarufu
duniani kanye west ameanzisha dini yake, akiwa yeye kama ndiyo mungu katika
dini hiyo inayotambulika kama 'yeezianity'
Niki nukuu baadhi ya maneno
ambayo yaliandikwa na mitandao mbalimbali kwamba kanisa la yeezus,
wanaamini kwamba, "mmoja anayejiita yeezus [kanyewest] ni kiumbe wa mungu
ambaye ametumwa na mungu kabla ya kutokea katika kipindi cha kuwepo kwa
binadamu ."
the church of yeezus, they feel that, “the one who calls himself
yeezus is a divine being who has been sent by god to usher in a new age of
humanity.”
Baada ya taarifa kuzagaa juuhudi za kumtafuta kanye ziliendelea
ili kujua nini ukweli wa taarifa zilizozagaa baadhi ya mitandao. haya ndiyo
maneno ya kanye
“in a lot of ways, after i created it, i reflected on it and
thought that this was just a rehashing of christianity, but just throwing
yeezus instead of jesus,”
“and you know what? that’s why i felt kanye did it. he just put
the name there. jesus has all this baggage and all these connotations, and
yeezus is this new thing—and that’s why i say in the ‘our savior’ part of the
site, ‘we don’t speak of his public persona.’ because yeezus is when kanye
elevates to that god-level, which i feel like we all have the potential to do.
that’s why if it takes off, in the future, people would forget kanye and his
antics, and instead focus on what the message is.”
Juhudi hazikuishia Hapo
alitafutwa Moja ya Viongozi wengine walioteuliwa kuwa viongozi katika
Dini hiyo na kusema manezo yafuatayo ..
"Yeye ni mtu wengi waaminifu katika utamaduni wetu,"
"Yeye ana viwango vya
juu zaidi maadili na uadilifu juu. Yeye ni mtu mbunifu zaidi. Na kama ni
ya kawaida na watu wabunifu, yeye anapata mengi.
“He is the most honest person in our culture,”“He
has the highest moral standards and highest integrity. He is the most
creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot
of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t
like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press
gives it this negative spin all the time.”
Taarifa zaidi zilizoendelea kufuatiliwa kwa ukaribu zaidi na mtandao wetu www.tanzaninewz.com ziligundua kwamba tayari Kuna mtandao au Website maalum iliyoanzishwa kwaajili ya kujiunga katika Dini hiyo mpya ya Kanye.
Picha ni Picha Maalum inayoonekana katika Mtandao wao huo.
NJIA ZA KUJIUNGA
Imekuwa na imefanywa
Rahisi sana Kujinga katika Dini hiyo ili kujipatia wafuasi wengi zaidi
kwa haraka, Nia yetu si kuwafundisha Namna ya kujiumga hapana Bali ni
kueleza namna tu mambo yanavyokwenda. sasa basi ukitaka kuwa mmoja wa
wafuasi wa huyo jamaa ni kuchukua Kibao na kuandika maneno haya kama
Picha inavyoonyesha hapo chni. hapo tayari utakuwa umeshajiunga nao
katika Ulimwengu wa Roho..
Basi hii ni video Kanye West akihojiwa katika Vipindi mbalimbali akielezea kwanini ameamua Kuanzisha Dini Hiyo
Mwandishi: Francis Mtey
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments