,

WASANII WAZIDI KUWEKEANA HESHIMA, MWANAFA NAYE AVUTA MKOKO MPYAA, TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

9:49 AM


Mwaka mpya na mambo mapya. Mwana FA ameufungua mwaka 2014 kwa ndinga mpya, Mark X, Toyota Mark X.

y
Picha ya kwanza ya gari hilo la FA iliwekwa jana na Jaffarai baada ya hitmaker huyo wa ‘Kama Zamani’ kwenda kuliosha. Ma nigga @mwanafa came to shower….real niggaz supports real nigga,” aliandika Jaffarai kwenye picha ya gari hilo ambalo bado lina ‘chassis number’
Naye Mwana FA alipost picha ya gari hilo kwenye Instagram na kuandika: Shower … kwa @ jaffaraijaffarhymes.
a
b

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....