, ,

UKISIKIA MAAJABU NDIO HAYA: HAWA NDIO WATOTO WA MIAKA 3 WANAOKUNYWA BIA ZAIDI YA 5, TAZAMA HAPA

9:51 AM

AMA KWELI DUNIA INA MAMBO NA UKISHANGAA YA MUSA UTASTAAJABU YA FIRAUNI...Hii imetokea huko nchini  Nigeria, ambapo watoto hao wawili pichani wa kutoka familia moja wenye umri kati ya miaka miwili na mitatu inasemakana wana uwezo wa kunywa chupa tano za bia kila mmoja, kama inavyo onekana pichani wakipiga kinywaji....Mcheki kwa makini huyo dogo wa mbele ambaye ndio mdogo jinsi sura yake ilivyo utajua kabisa kinachooongelewa ndicho...!

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....