, ,

PICHA YA DAVIDO AKIWA KALALA NA MSANII WA BONGO MOVIE YAVUJA, KAMA UNA MACHO TAZAMA

10:29 AM

 Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido toka nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU na pia kushirikishwa katika ngoma ya MY NUMBER ONE REMIX ya Diamond hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa bongo wakiwa katika pozi la mahaba alivyokuja Bongo. Hii picha imepigwa chumbani na inasemekana mdada huyu kaivujisha ili apate kick zaidi pale mitandao itakapoanza kuandika habari zake. Kama unawafahamu vizuri wasanii wa bongo movie tazama vizuri picha, UTAMTAMBUA  NI NANI HAPO KWENYE HIYO PICHA

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....