, ,

OMG!!! MATUSI, MATUSI!! PREZOO NA ALIYEKUWA MPENZI WAKE WAAMUA KUMWAGA MCHELE KWENYE KUKU WENGI....SOMA DRAMA NZIMA HAPA

12:22 PM



Lile penzi la mkali kutoka Kenya Prezzo na mdada kutoka uchagani Chagga Barbie limeota mbawa na hatimaye kilichofata ni matusi kuwekeana mambo hadharani bila hata aibu, Mdada ameamua kumwaga kila kitu hadharani na hapo chini ni kila kitu alichoongea mwanadada kutoka TZ aishie USA.

 Swahilitz imefatilia mkasa huu na tumeona sio mbaya tukakuwekea picha hapa uone jinsi mdada alivyofunguka vya kutosha. 



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....