,

MSIKILIZE NA MTAZAME JUX AKIONGELEA SWALA LA MPENZI WAKE JACK CLIFF KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA CHINA.....BOFYA HAPA

10:53 PM







Boyfriend wake Jackie ambae ni msanii wa bongofleva Jux ameongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com Jan 13 2014. Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine….
Hii ndo picha aliyo na ujumbe aliopost Jux mara baada ya kuongea na Jackie amabye kwa maelezo yake hajui kinacho endelea.


 Hii ndo picha aliyo na ujumbe aliopost Jux mara baada ya kuongea na Jackie amabye kwa maelezo yake hajui kinacho endelea.

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....