matukio,
mpya,
wasanii
HUYU NDIO MSANII WA BONGOMOVIE ALIYENG'ANG'ANIA ULAYA MPAKA APEWE MIMBA NA MZUNGU
12:58 AMMwanadada Jacqueline Dustan ambaye ni msanii wa filamu aliyeibukia
kwenye Shindano la Maisha Plus season II, ameonekana kung’ang’ania kuzaa
na Mzungu kufuatia maelezo yake kwamba harudi Bongo mpaka atundikwe
mimba na mtasha.
“Kwa kweli nitarudi Bongo endapo tu nitapata mtoto mmoja wa kitasha, sasa niko bize kutafuta mchumba ambaye ni salama kwangu ili niweze kupata naye mtoto mmoja tu,” alisema Jack.
Ni takriban mwezi wa sita sasa msanii huyo yuko nchini humo huku anachokifanya kikiwa hakijulikani licha ya kuwepo kwa madai kuwa, wasanii wengi wanaokwenda huko wanajiuza.
GPL
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments