,

HII NDO PICHA ALOPOST WASTARA AKIWA NA 'BWANA' MPYA NA KUZUA GUMZO

3:18 AM

Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa “nimemisi kumbatio la huba” kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je huyu ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la. tunatafuta ukweli wa swala hili kisha tutalifikisha kwenu wadau wa Tovuti yetu....


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....