,

FALLY IPUPA APATA AJALI MBAYA YA GARI, TAZAMA PICHA HAPA

3:18 AM

Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chinialiumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa.













Picha na Voice of Congo

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....