bongofleva,
mpya
DIAMOND AWAPIGIA MAGOTI MAGIC FM ILI WAPIGE NYIMBO ZAKE TENA, SOMA ZAIDI HAPA
4:31 AM
Msanii Mkali wa miondoko ya Kizazi kipya Bongo,
Bongo Fleva Diamond Platinum Leo Amekiri kupitia Kipindi Cha DalaDala
Beats Kupitia Radio Magic Fm Ya Dar Es Salaam Kuwa Alikuwa anatofauti na
Radio Hiyo kutokana na mambo ya kibinadamu yaliojitokeza yaliosababisha
kupishana kiasi kwa aliowaita wafanyakazi wenzie kutokana na
kutegemeana katika Kazi yake,
Msanii Huyo aliyetembelea Studio Za Magic fm Akiongozana Na mkubwa Fela Pamoja Na Babu Tale kwa nia ya Kuja kuomba Msamaha na kuweka mambo sawa alifunguka kupitia kipindi cha Daladala Beats Kinachoruka Magic Fm Kuanzia Saa saba mchana mpaka saa kumi jioni
Ni Takriban Mwaka Mmoja Na Nusu Tangu Nyimbo za Msanii Huyo Kuacha kuchezwa na kituo hicho baada ya Misunderstanding hiyo kujitokeza.
Tangu jana kupitia vipindi mbaali mbali nyimbo za Diamond Zimeanza Kuskika Tena kupitia kituo hichi baada ya kurejesha tena maelewano baina ya kituo na msanii huyo
Diamond pia alizungumzia wimbo wake mpya wa My Number One Remix Aliofanya na msanii Davido wa Nchini Naijeri, na hilo ndo Pini jipya lililopo sokoni sasa kwa msanii huyo anayetajwa kuwa mkali zaidi bongo kwa sasa
Picha Wakati Msanii Diamond Akiwa Katika Studio Za Magic Fm Kuyamaliza

Diamond akiwa na peoduce Walter na Dj Muta Production ya Magic Fm

Diamond na Producer Water

Diamonda Ndani Ya Studio Za Magic Fm

Diamond katika mahojiano na Dj Tass wa kipindi cha Dala dala Beats

Dj Q akiwa na Jimmy Jamal waendeshaji wa kipindi Cha Dala Dala Beats wakimuhoji Diamond plazzz ambaye alifika leo hii kumaliza tofautii zake na kituo hicho

Kamati hiii ndio imesaidia kwa kiasi kikubwa kumaliza tofauti hizi za Diamond Na Magic Fm Radio, Kushoto Ni Meneja Msaidizi wa Magic Fm Dizzo One, Dativus Mango Radio Manager Magic Fm, Mkubwa Fela na Babu Tale Ambao ni wasimamizi wa kazi za Diamond

Kati kati ya Viongozi

Mussa Kipanya Akiwa Na diamond

Musa Kipanya Diamond and i

Wasuluhishi, Babu Tale, Dativus Mango Radio Manager Magic Fm, Na Mkubwa Fela

Mkubwa Fella Na Dj Muta wa kipindi cha bongoCut ya Magic fm

mama Lao Mish B sambamba na Mdogo wake Diamond na Musa Kipanya

Haikuwa Rahisi kufikia muafaka

Magic Fm Radio Manager Dativus Mango na Diamond Amani tele

Dj Tass Na Msanii Diamond

SOURCE : SALMA MSANGI BLOG
0 comments