,

YULE VIDEO QUEN MPIGA PICHA ZA KWICHI KWICHI, SAPNA APATA SHAVU...PATA STORY YOOTE HAPA

11:11 PM


Actress  Sapna na Director/Actor Mtunisy wakifanya yao mbele ya Camera.

M
 sanii mkongwe katika tasnia ya filamu hapa nchini  aamua kuwabadilisha wale walio pinda kuwaweka kwenye filamu baada ya kumchukua sapna yule Video kwin aliyetikisa mitandaoni kwa picha za utupu na
kumchezesha filamu yake hatimaye kukiri kutorudia tena tena vitendo hivyo vya kupiga picha chafu...!!!

Mtunisy  alifunguka kwamba mchakato huo wa kuwabadilisha dada zetu kutoka kwenye tabia zisizoipendeza jamii hautoishia kwenye filamu hiyo bali ataendelea kuwabadilisha siku hadi siku,

Lengo lkiwa ni kuifanya Bongo Movies iwe kimaadili zaidi hasa ya kiafrika na sio vinginevyo,Alisema mtunisy.


Kabuti Onyango the best Camera man akiwa location na Mtoto Sapna yani harakati za kushoot.

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....