,

VANESSA MDEE AZIDI KUCHANA NYAVU, SASA AMKUTA DIAMOND NA JIDE...JIONEE HAPA

4:32 AM

Msimu wa pili wa Coke Studio umeshaanza ambapo kwa upande wa Tanzania , Vanessa Mdee ameongezwa huku akiwa na lady jaydee na Diamond Platnumz. Hivi sasa Vanessa Mdee ameshaanza kurekodi session yake katika msimu huo ambapo anafanya muziki unaoitwa “African fusion”  na mwanamuziki kutoka Ghana anayeitwa  Burna Boy ambaye anahit na single zake kama Abeg Abeg Abeg”, “Party Wit Me”, “Firewood”, “Touch Your Toes”, “Like To Party” na “Trumpet” alioshirikiana na DAvido.

Vanessa-Mdee-Coke-StudioVanessa-Mdee-Coke-Studio-2


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....