,

UKITAKA KUAMINI KUWA SUAREZ NI ZOMBIE INGIA HAPA!! LEO AMTAFUNA TENA MCHEZAJI WA ITALY....PICHA/VIDEO ZOOOTE HAPA

1:12 PM


  • Suarez leo ametafuna tena tukio hilo lilitokea kwenye mechi baina ya timu ya Uruguay ambayo anachezea yeye ilipopambana na Italy. picha zinaonesha Suarez akiwa anamtafuna beki wa Timu ya italy  Giorgio Chiellini. Kama utakumbuka mwaka jana Suarez alilazimika kuomba msamaha kwa kumngata beki wa Chelsea Branislav Ivanovic

  • Chiellini akionesha alama za meno baada ya kungatwa na Suarez
    Suarez akitowa vipande vya nyama vilobaki kwenye meno yake
    Aaaaaaaaakumbe nyama yenyewe kidogo hivi
     Chiellini akionesha majeraha yake 


    CREDITS: JESTINA GEORGE USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

    You Might Also Like

    0 comments

    JIUNGE UPATE HABARI

    Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....