, ,

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YOOTE KATIKA TUZO ZA WATU, ILIKUWA BOMBA MBAYA

5:59 AM





Burudani ikiendelea ndani ya Ukumbi uliopo Serena Hotel katika sherehe za utoaji wa Tuzo za watu 

Wadau wakifuatilia Tuzo za Watu 

Jimmy Kabwe akiendelea Kutangaza 



Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto) akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabeth Michael maarufu kama Lulu mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora wa Kike anayependwa. 

Salama Jabir akiiwa juu ya Steji kwaajili ya kukabidhi tuzo ya Muongozaji Bora wa Video anayependwa 

Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili Kutoka BBC Salim Kikeke akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wadau wake 

Faraja Kota Nyalandu (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mrs Mengi Kylin 

Wakurugenzi wa Bongo 5 

Babu Tale akipokea tuzo ya Video bora Kwa Niaba ya Msanii Diamond Ambae hakuwepo katika Utoaji Tuzo hizo. Nyimbo ya My Number one ya Diamond Ndio Nyimbo inayopendwa 

Mustafa Hassanali (Kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Lady Jay Dee Tuzo ya Video Bora ya Yahaya 

Wadau wakifuatilia Sherehe za Utoaji Tuzo hizo zilizofanyika jana katika Ukumbi uliopo katika hoteli ya Serena 

Watangazaji wa Clouds Media , Adam, Millard Ayo na B12 wakijadiliana jambo wakati wa sherehe za utoaji tuzo za Watu. 

Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko 

Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti 

Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo 

King Majuto akifurahi mara baada ya kupokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume. Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....