SAMAHANI KWA PICHA HIZI!! PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOUA WATU 1O JANA MABIBO DAR

10:47 PM


 Ajali hii mbaya imetokea majira ya saa 11 jioni maeneo ya lugalo ni baada ya dereva wa basi kutaka kuovertake na kukutana na lori uso kwa uso dereva akajaribu kukwepa lori hilo matokeo yake, dereva ikamshinda gari na kuliingia lori upande mmoja na kusababisha vifo vya watu 19 mpaka sasa na majeruhi..













USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....