, , , ,

PRODUCER LUCCI AONGEA KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI KATI YAKE NA FEZA KESSY NA JOKATE...INGIA HAPA

9:36 AM



Wiki iliyoisha tulipata muda wa kukaa na Producer Luciano Tsere aka LuccidaDon au unaweza kumuita lucci na kufanya naye maojiano kadhaa kuhusiana na muziki anaofanya , kazi yake ya music production na zaidi ya yote mahusiano yake yeye na jokate na feza kessy. kwa kifupi lucci amezaliwa tarehe 30 September 1985 Lusaka Zambia, akiwa ni mzaliwa wa nne, wa mwisho kuzaliwa na akiwa mtoo wa kiume pekee kwenye familia. kuhusiana namahusiano yake na feza kessy lucci aliyasema haya “Nilikuwa na uhusiano na Feza, i event engaged her mwaka
2012, na kuna kazi nyingi ambazo nimeshawahi kumfanyia kimziki, bahati mbaya tulikuja kuachana, tulikuwa pamoja for 2 years, actually moja ya sababu iliyofanya tuachane ni kwamba unajua kuna kuvumiliana na kupeana chances,
alivoingia big brother mimi sikuwa na tatizo ila alivoanza niongelea vibaya mimi na familia yangu in public hiyo sikupenda kwakweli, unajua nnafahamiana na watu wengi, en kuna watu walikuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu sasa
kuanza kuongeleana vibaya sikupenda kwakweli” USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....