,

NENO MOJA TU KWA MHESHIMIWA HAPA, ALIPONASWA NA KAMERA AKIWA NA 'KICHWENCHIDO aka KISHTOBE'

4:14 AM




Wanasema mjumbe hauawi, natanguliza hilikwa sababu huyu jamaa anasifika kwa kuwananii waandishi wanaomchafua. Mie simchafui ila nawasilisha tu kile nilichokikuta mahali. Mmmmh, ama kweli uzee Chalinze, Mjini kila mtu bebi. Una neno gani juu ya huyu mheshimiwa sana aliyefumwa akila vitu LAINII??? HAHAHA. MIE SIMO LAKINI

Source : Raha tupu
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

3 comments

  1. zee zima hovyo mwili wa tembo akili ya sisimizi

    ReplyDelete
  2. hana maana kabisaaa

    ReplyDelete
  3. Duh!! hii hatari sana

    ReplyDelete

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....