,

MOVIE YA SHILOLE/NUHU [MAHABA NINYONGE, NIBURUZE] YAENDELEA, ONA JAMAA ALICHOAMUA KUFANYA HAPA

6:51 AM


Hii ni muendelezo wa ile ya Ndugu yetu anaeitwa MZIWANDA alie FOLUINILOVE kwa Mama La Mama SHILOLE[SOMA HAPA]....Jamaa amekuwa akitumia ukurasa wake wa INSTAGRAM kuelezea swala zima la mahusiano yake na SHILOLE, kwa mfano hivi karibuni aliweka picha shilole na kuandika hivi;

Ni zaidi ya mpenz huyu mwanamke ,ni jembe langu ,muongozo wangu ,mtani wangu na kila sifa nzur anastahili katotoo kangu,chochote nkimfanyia nafanya kwa mapenzi,na yeye akifanya chochote kwangu anafanya kwa mapenzi.mnaosema huyu kipenZ changu ni jimama mnapoteza time,na mnaosema mm ni serengeti boy kwa huyu kipenZ changu mnafail,ila ni mapenzi tu yanaongea. Na kama jimama anatambulishwag nyumbani basi saaawa. Kilichonipeleka kwake ni mapenzi tu na yeye mapenzi yamemleta kwangu pia.
 SHOCKING!!!
Leo hii (sasa hivi) kijana ameamua kujichora TATOOna kuandika  SHISHBABY  hii ni aka ya MUPENZI WAKE......hehehehe

Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??
 Baada ya Muda kidogo Mwanamama SHILOLE  nae aliweka picha hii na kuandika hivi;
Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ulweli@mziwanda666 @mziwanda666

Neno kwa Kijana PLZ!! 
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....