,

MMMH!!! MAKUBWA HAYA....

1:24 AM



....Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa
naona itakua imefika kikomo.
Naishi na mpe nzi wangu hatujafunga
ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila 
siku niendapo kazini na kurudi jioni
lazima nimuachie elfu kumi na tano
15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute
mezani kumependeza nadhani
mmenielewa cha ajabu jamani nakuta
ugali na dagaa akibadili sana tembere
kaomba kwa jirani.
Huu ni ungwana jamani? kumuambia
nashindwa naona kama takua naingilia
mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na
nisipokula huo ugali ananuna.
Sielewi nifanyeje na Nilikuwa nafikiria
Kumuoa..
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....