,

MAMBO YA INSTAGRAM, LEO TEAM UKWEL WAMWAMKIA IRENE UWOYA...SOMA WALICHOMWANDIKIA

4:44 AM


Daaah hawa watu ni NOUMA, TeamUkwelinaUwazi ni AKAUNTI ambayo ipo kwenye mtandao wa INSTAGRAM...kazi yao kubwa ni kufunguka kila kitu kwa ukweli na wanavyo jisikia wao...Sasa hii ya leo no kwa IRENE UWOYA..nimependa kushare nanyi kama ifuatavyo;

Huyu lreen mzuri Tanzania Nzima wema sepetu hapa anasubiri miaka laki tisa ! Mtoto mlaini hajui mkorogo Mtoto mayai hajui shida na wala hana majigambo .. Kikubwa ninachokipenda kutoka kwa lreen ni mtu asie na magroup na ushoga wa kijinga na hapendi umbea na hajui umbea Mtoto mzuri sana akiongea kama hataki amezaa nabado yupo fit hongera Ireen uwoya ..... Ila Hicho kijamaa chako kama ni kweli unatoka nacho mmh hapana wewe na yule shilole hehe tena yule wa shilole ndio kutwa kinajitanua yaani kinapenda mteremko live....
By TeamUkwelinaUwazi 
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

1 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....