,

MAKUBWAAAA!! ETI WEMA ALIAMBIWA AVAE TENA NGUO NYEUSI ILI DIAMOND ASHINDE KAMA ILIVYOKUWA TUZO ZA KILI!!!!

11:52 PM



Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizofanyika  usiku wa kumkia leo  huko mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB! Lakini leo nilikuwa nasikiliza kituo flani cha redio hapa tz, wakawa wanazungumzia vazi la wema, kuna msikilizaji mmoja akapiga simu eti hizo nguo nyeusi za Wema ndio alizoambiwa zina bahati kwa mpenzi wake, maana alivaa nguo nyeusi tuzo za kili na Chibu akaondoka na tuzo 7, sasa 'wadau' walimshauri kuwa avae NYEUSI TENA, eti Chibu atalamba tena tuzo Mbili!!! Mmmmh....MAKUBWAAAAAAA
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....