, ,

Leo Ndio Leo!!! Diamoooond Again BET AWARDS....

10:16 PM


Leo ndio sherehe zile za utoaji tuzo za BET, Kama tunavojua haka kajamaa kapo kwenye kapu pia. Alituwakilisha MTV Africa, sasa anatuwasilisha tena BET Awards. Tuko nyuma yako na tunakuombea sana. 

STAY TUNED HAPA, TUTAWALETEA KILE KINACHOJIRI BET AWARDS LEO

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....