,

HIVI NDIVYO SOKO LA KARUME LILIVYOTEKETEA...INASIKITISHA SANA

1:11 AM




Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa. 

SOURCE : JESTINA GEORGE
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....