,

DUUH!!! NEY WA MITEGO AAMUA KUJINUNULIA ZAWADI HII..

11:51 PM

Wakati vijana wengi mjini wakiangaika kupiga mzigo na kusubiri chao mwisho wa mwezi , ney wa mitego ameona isiwe tabu kujipa kazawadi kidogo cha kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Unajua jamaa kanunua nini ? mshkaji kaangusha gari jipya aina ya Nissan  Murano ikiwa ndio mara ya kwanza anafanya sherehe ya birthday.
nay-wa-mitego-2
Ney alinena haya kuhusiana na gari yake mpya “Nimejinunulia Gari Aina ya Murano Kama zaiwadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu”
2007-nissan-murano-ney-wa-mitego-gari

je, umezisoma hizi ?

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....