, , ,

DIAMOOND!! DIAMOND!! WE ARE PROUD OF YOU!! HAYA NDIO MAKUBWA ALOFANYA BET AWARDS

12:17 PM


Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani....Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo... Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa... Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!.... Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa..... !!!!!! @wcb_wasafi For Life Baby ������

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....