, ,

DIAMOND AONYESHA SUTI ATAKAYOVAA TUZO ZA BET, TAZAMA HAPA

6:30 AM

dimond

BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio.
Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz. Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.
dimo3

MAONI
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....