,

INATISHA!! MTANDAO WA 'NGONO' WA WEMA NDIO HUU....LIST INATISHA. SOMA HAPA

2:25 AM




 Wema Sepetu ni miongoni mwa wasanii wenye mvuto sana hapa Tanzania na tunaweza kusema hata Afrika Mashariki. Amejipatia umaarufu mara ya kwanza baada ya kushinda taji la Miss Tanzania mwaka 2006. Baada ya hapo alianza kumake headlines kwa skendo za mapenzi kabla hajaingia rasmi kwenye tasnia ya filamu, na aliyemuingiza alikuwa ni Marehemu Steven Kanumba. Kwa kipindi hiki kisichozidi miaka 10 ya umaarufu wake amefanukiwa kufanya mambo makubwa katika tasnia ya filamu kwani ameonesha kipaji cha hali ya juu sana. Licha ya hayo umaarufu wake unakuzwa zaidi na skendo za hapa na pale na mara nyingi ni skendo za mapenzi. Leo tumeamua kuwaletea list ya wanaume aliotoka nao mpaka sasa kwa kipindi hiki cha miaka 8 ya umaarufu wake.

--BOFYA HAPA KUSOMA NA KUTAZAMA PICHA--
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....