,

BAADA YA KUCHOKA KUPIGA PICHA ZA UCHI, MSANII HUYU ATAFUTA BWANA

5:09 AM



Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....