,

WADADA, KWA NINI MNAPENDA KUTUFANYIA HIVI WANAUME??

9:29 AM


 Toka wanawake wajue weakness zetu zipo wapi. Basi imekua kero, kila mmoja akipiga picha ni lazima ategeshe kijungu. Tena wengine wamepitiliza mpaka wameamua kuacha vijungu WAZI ili tu tuchachawe. Acheni hizo, halafu mkitongozwa mnaanza kusema ooh, wanaume wa siku izi wakware, mara ooh wana ugwadu, mara vicheche. Sisi na nyie ni nani vicheche, maana mie nsingekufata kama usingenionesha plate number zako tena ukiwa hujazivisha nguo!!!Alaaah, nshiiiiiuuuuh

Ni hayo tu kwa leo ila HATUPENDI TABIA YENU

Mrekebisha tabia za watu

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....