,

WABONGO BANA, WAMMIMINIA MATUSI RAY BAADA YA KUPIGA PICHA HIZI..TAZAMA HAPA

11:17 AM


Picha ya mahaba waliyopiga Ray na mpenzi wake Chuchu Hans inayofanana  kwa asilimia 100 na ile waliyopiga Kanye na mke wake mtarajiwa Kim Kardashian, imezua maneno na minong'ono kwa mashabiki juu ya kucopy na kupaste kwa picha hiyo inayofanana na kuponda kwa kusema kuwa wabongo wameishiwa ubunifu kazi imekuwa ni kucopy tu, Tazama picha hizo hapo chini
Original ya Kanye na Kim
Copy and Paste ya Ray na Chuchu Hans
Na wewe mdau unafungukaje juu ya picha hizi
 

 -SWAHILI TZ
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....