,

SIJAELEWA HII NI POMBE AU NINI!! TAZAMA HAWA WADADA WALICHOKUWA WANAFANYA HAPA

7:13 AM

Warembo wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakazi wa jijini Dar es Salaam,  hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vya kifirauni hadharani bila kuhofia umati wa watu uliokuwa ukiwatazama.
Tukio hilo la aibu lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo kundi jipya la New Five Stars lilikuwa likizinduliwa

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....