,

SHILOLE ATOA KAULI TATA, SOMA HAPA

12:51 AM

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe.

Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.
“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,”

-GPL


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....