,

PICHA ZA MASTAA AMBAO LUPITA KAWABURUZA KWA UZURI MWAKA 2014. TAZAMA HAPA

10:27 PM


Hata Lupita mwenyewe hakuweza kuamini macho yake, aliona kama amependelewa aliposikia kuwa yeye ndio mwanamke mzuri kuliko wote hawa kwa mwaka huu, hii ni kutokana na takwimu na zoezi lilofanywa na moja ya jarida maarufu linaloheshimika huko marekani na dunia nzima, ni kama bahati vile mwaka hu kushinda kila tuzo, ila kwa hii list ya wapinzani wake, huwezi amini kama Lupita angefurukuta hadi kutajwa kuwa namba moja kwa uzuri kati ya warembo hawa wote.

2. Kerri Russell
keri-russell
3. Jenna Dewan-Tatum
Jenna Dewan-Tatum attending the Alice + Olivia Fall 2012 Presentation during Mercedes-Benz Fashion Week at Center 548 in New York City
4. Mindy Kaling
mindy-kaling_wide-b2c920af64f476d4f861de6a4cd4b4e08843f781-s6-c30
5. Pink
pink-jpg
6. Amber Heard
Amber-Heard-Smile
7. Gabrielle Union
gabrielle-union-62201
8. Molly Sims
Molly-Sims-Wallpaper_-
9. Stacy Keibler
stacy-keibler-pictures-347786
10. Kerry Washington
Kerry-washington_04

Vibe Magazine


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....