,

MMH, HIZI PICHA ZINA UTATA PIA, WEMA NA ROMMY J...ONA WALICHOKUWA WANAFANYA

2:10 PM

Mh kiukweli for me I dont think kama hizi picha zina tatizo, but kwa jamii ya kitanzania kiukweli watu wamekuwa wakiweka doubt, eti huenda ushemeji ukawa ni wakupitiliza hususan kipindi kama hiki braza diamond the platnumz akiwa hayupo nchini basi mdogo wake huwa anajisevia..
But mh waswahili husema kisemachwo kipo kama hakipo basi kinakuja ni hayo tu, endelea kutembelea blog yako ya ukweli halaa...
JIONEE MWENYEWE PICHAZ HAPA...

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....