,

HUYU NDIYO MPENZI MPYA IRENE UWOYA. TAZAMA PICHA HAPA

10:37 PM


Siku kadhaa zilizopita kuliwahi kulipotiwa na kuonesha picha Irene Uwoya akimtomasa sehemu nyeti Msanii mwenzake wa maigizo Haji Adam na kuzua mambo mengi hasa katika mitandao ya kijamii, lakini haikuishia hapo wawili hawa wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara tena nyakati za usiku na pozi zao zinaonyesha ishara ya mahaba, 
ndipo swahilitz iliamua kumtafuta Haji Adam lakini hatukuweza kumpata vilevile ilitokea kwa irene uwoya kwani namba yake ilikuwa haipatikani ndipo tulibahatika kupata mawasiliano ya rafiki wa karibu na Irene ndipo akafunbguka "Mbona hao wapenzi kitambo sema nyiye mmechelewa kufahamu ukweli tu" alimaliza rafiki huyo


CREDT-SWAHILITZ

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....