,

HIZI NDIZO PICHA ZA SHILOLE NA DOGODOGO WAKE ZILIZOLETA GUMZO INSTAGRAM MPAKA WENGINE WAANZA KUTUKANANA

10:23 PM

Mwanadada Shilole ambaye ni  Muigizaji, mwanamziki, socialite, nk...Anashutumiwa kuwa rekodi ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana ambao inasemekana amewazidi UMRI...Hivi karibuni kupitia mtandao wa INSTAGRAM, mwanadada huyu amekuwa akipost picha zenye utata..zikiashilia yuko kwenyemahusiano na kijana mmoja (jina lake halikufahamika)...Sasa hizo picha ndio hasa chimbuko la wadau kuanza ku-comment- positively na negatively.....!!!

CHEKI PICHA HIZO NA COMMENT KADHAA


WEKA YAKO HAPO CHINI


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....