,

HAHA!! ANAOMBA USHAURI JAMAA AKE ANATAKA KUMUACHA!! SOMA HAPA

10:24 PM


SHIKAMOO ADMIN@@
      Mmi ni msichana wa miaka 32 ninoba usiweke mail yang kwenye wall ..Ninaishi huku South Africa nina mwanaume wangu mzuri tu na tunapendana kwa dhati ila tatizo ni kuwa yeye hapendi nifanye mazoezi gym yaani ndio ugomvi wey wa kila siku
sasa naomba ushauri kwako na wana bongosingles kuwa je niachane naye tu au iweje maana kwa kweli mazoezi ndio chakula yangu kila siku

ADMIN$ SAYS_MIMI naona ni bora ukamshawishi na yeye awe anafanya maoezi ili  asikukose kipindi uwapo maoezini

au wadau mnasemaje mpeni ushauri huyu dadaetu

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....