Jacqueline Wolper (kulia) pamoja na Penny (kushoto) wakipozi na mmoja wa mashabiki wao.
Na Waandishi Wetu
CASINO ya kisasa inayokwenda kwa jina la Princess Casino ilizinduliwa
jana katika mkesha wa Pasaka jijini Dar na kuhudhuriwa na wageni
mbalimbali huku burudani za hapa na pale zikisindikiza uzinduzi huo.
Casino hiyo iliyopo maeneo ya Posta mtaa wa Ohio jijini Dar, inamilikiwa na wawekezaji kutoka Uturuki.
Katika uzinduzi huo, mgeni rasmi alikuwa balozi wa Utuuki nchini, Ali Dovutoglu.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments