,

BAADA YA KUWABWAGA, LK4, IVAN SASA THE BOSS LADY ZARI ANA DATE NA HUYU JAMAA, MAPICHA YAKO HAPA

1:04 AM

Mwananadada Zari THE BOSS kutoka Uganda, kwasasa yuko katika mahusiano mapya ya kimapenzi na Farouk.
Picha zao wakiwa pamoja zimekuwa zikizagaa mitandaoni na wadau na mashabiki wa Zari wamekuwa waki shusha comments za kutosha ...huku Zari akijaribu kuwajibu...kwamfano kuna mdau ali comment kuhusu nini kumetokea kati ya yeye Zari na mpenzi wake  Isaac Lugudde (LK4) ambaye ni mcheza mpira wakikapu maarufu.....Zari alijibu kuwa  "My past is past, Im with Farouk now"
Jionee picha hizo na utoe comment yako



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....