,

HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE ULIMI MREFU SAAANA, TAZAMA HAPA

7:31 AM

 CH1 


Pichani kushoto ni bi mdada Chanel Tapper akionyesha urefu wa ulimi wake
Chanel Tapper ni mwanafunzi wa chuo cha California Marekani, ndiye mwanamke wa kwanza anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa na ulimi mrefu kupita wanawake wote, inasemekana anaulimi wenye urefu wa sentimita 9.7, baada ya kuingia katika kitabu cha rekodi za dunia maarufu kama Guiness , amesema anategemea wahisani pamoja na hela atakazopata ziweze kumuendeleza katika kumaliza chuo na masomo yake.
CH2
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....