,

MMMH, HAPA MARIAH CAREY NAYE ALIAMUA KUWAONYESHA WATU MAMBO YAKE YALEE

4:46 AM

Hakika mwanamke huyu hataki kukubaliana na ukweli wa yeye kuwa mtu mzima na kuacha mambo kama haya yakafanywa na wasichana wadogo. Hivi ndivyo alivyoimba kwenye BET Honors zilizofanyika Warner Theatre ndani ya Washington DC siku ya Jumamosi.

Angalia picha zaidi hapo chini....



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....