,

HUDDAH AAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA HUYU MSANII, TAZAMA HAPA

9:47 PM


 
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika jumba la Big Brother msimu uliopita, Huddah Monroe ambaye pia alikuwa mpenzi wa rapper Prezzo, ametangaza kuwa kwenye penzi jipya na mwanamuziki mwingine kutoka Kenya Colonel Mustafa.

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....