,

DUUH, HILI NI FUMANIZI LA MWAKA, JAMAA AFUMWA NA MKE WA RAFIKI YAKE WAKIIBANJUA AMRI YA 6, TAZAMA HAPA

7:49 AM

MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz.

Mke wa mtu sumu: Anton John Mwaweje baada ya kunaswa akiwa na mke wa rafiki yake gesti.

Mshangao: Anton John akishangaa baada ya kuba

Misosi na mitungi: Baadhi ya misosi na vinywaji vilivyokutwa chumbani humo.

Za mwizi 40: Bwana Anton John akiwa na pingu mkononi baada ya kunaswa na kamanda wa OFM pamoja na wanausalama.



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....