mpya,
wasanii
TAZAMA VIDEO MPYA YA YASINTA TALLY, MWANADADA ANAEWAKILISHA MWANZA VYEMA KWA UPANDE WA HIPHOP
4:36 AMYasinta ni mwanadada anayefanya mziki wa Hiphop na anawakilisha vyema pande za Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla. Yasinta ana uwezo wa kuflow kwa lugha mbili tofauti yani kingereza na kiswahili. Na style yake ni ya tofauti kidogo kitu ambacho naamini akipata nafasi ataiwakilisha vyema tanzania na hata nje ya nchi atafanya poa.
0 comments