
"Wewe sinta kwa nini unapenda kufwatilia maisha ya watu. Jione apo miwan na ilo pua lako na miziwa na viguu kama chelewa na mkorogo wa mia 2 . Nimekuchoka why wewe unapenda kufwatilia mambo ya watu. Nafikir umenielewa nini namaanisha. Na chokoza hao wapole mimi nitakufuraisha"
0 comments