,

HII KALI YA MWAKA: WAFUNGWA WAFANYA SHINDANO LA KUMTAFUTA MISS JELA, TAZAMA PICHA HAPA

4:37 AM




HAYA ni mashindano ya urembo yanayofanyika kila mwaka katika moja ya gereza la wafungwa huko nchini Brazil, waliyoanzisha mashindano haya wanasema wanawapa haki wafungwa nao wajisikie kama binadamu na si kama wanyama kwani muda mwingi wanakuwa wanafanya kazi kwahiyo inakuwa sio mbaya kuwapa muda kidogo wajifurahishe katika mioyo yao na sio muda wote waonekane watumwa wa kazi. Mshindi wa taji hilo anapewa uangalizi na zawazi za kutosha kutoka kwa waandaaji wa shindano hilo.










You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....