Kundi la Bongo movie unity limepata uongozi mpya wa club hapa
nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya
leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.
Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni;
Mwenyekiti. Steven Nyerere.
Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"
Katibu mkuu: William Mtitu
Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga
Mtunza hazina: Issa musa “cloud"
Msaidizi wake ni: Cathy rupia
0 comments