,

YULE SHABIKI WA YANGA MLIAJI AINGIA KWENYE MOVIE INDUSTRY....TAZAMA PICHA ZA SCENE ALIYOIGIZA HAPA

12:06 AM

Yule Shabiki wa YANGA, 'bingwa wa kulia' ajitosa Bongo Movies, apewa
 Yule Shabiki wa YANGA, 'bingwa wa kulia' ajitosa Bongo Movies, apewa
Shabiki maarufu wa Yanga Steven amejitosa katika fani ya filamu ambapo ataanza kuonekana karibuni akiwa katika muvi inayoandaliwa na Dr Cheni itayokwenda kwa jina la 'Nimekubali Kuolewa'.
Steven alijipatia umaarufu ghafla baada ya mitandao kurusha video inayomwonesha analia baada ya timu ya Yanga anayoishabikia kufungwa. Kwa upande wa Dr Cheni ambaye ni msanii aliyeanza fani hii takriban miaka 15 iliyopita, anakuja kiviungine baada ya kukaa kando kwa mwaka mmoja. Katika filamu hii pia kuna nyota kutoka China ambaye anakuwa Mchina wa kwanza kuigiza kwenye Bongo Movie.
Tazama moja ya scene ya filamu hiyo jamaa akimwaga chozi kama kawaida HAPA

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....