UGOMVI WA KUGOMBEA BWANA: HUDDAH NA CHAGA BARBIE WATUPIANA MATUSI MTANDAONI
6:03 AM
Baada ya Huddah Monroe kuonekana kutokupenda Uhusiano wa Prezzo na
Galfriend wake kutoka Tanzania anayejulikana kama Chaga Baby ama
Starlisha na kuanza kumtukana Prezzo kuwa ni Mbwa koko, Starlisha naye
ameamua kumjibu Huddah Monroe kupitia Instragram
0 comments